The real Tanzanian Dance Music 'Muziki wa Dansi'
from Legendary Fresh Jumbe § other Tanzanian Artists


FreshJ Productions

Subtitle

FreshJ Productions is the only website that will give you the real 'Muziki wa Dansi' (Tanzania and East African original Dance Music). Listen to the big numbers of Tanzanian Muziki wa Dansi from Legendary Fresh Jumbe and other great Tanzanian Artists. You will also hear the Muziki wa Dansi news and interviews of some of greatest Tanzanian Artists from greatest Muziki wa Dansi's Critics, Reporters, Producers, Radio Presenters and more. Listen to the Muziki wa Dansi, watch videos of Tanzanian Rumba and Chakacha and get the Musiki wa Dansi latest news.

Here are Fresh Jumbe's Music. Please buy them from all major Online Music Stores 

Buy Fresh Jumbe's Music from:

Buy Full Albums or any single song from iTunes, Apple Music, Google Play, Amazon Music, TIDAL, Deezer, napster, mediaNet, iHeart, Spotify
and more

Album 'Wema' ndiyo Album mpya kabisa ya Fresh Jumbe. Kwenye Album hii yenye nyimbo 10, Fresh Jumbe ameamuwa kuchanganya midundo ili kuwaridhisha mashabiki wake wa Dunia nzima, na si wa Tanzania au Afrika tu. Nyimbo zilizomo kwenye Album hii ni hizi zifuatazo: Inaniuma sana, Maisha ya mjini, Wema, Tuhifadhi Mazingira, Amka East Afrika, Hasidi, Sifa, Mapambano, Sugar Mummy na Maisha ya mjini (Instrument).
Please buy from any of your convenient Online music Store.

Album 'Penzi ni kikohozi' ni Album yenye nyimbo 9... Dakika 59 kwa ujumla wake. Ndani ya Album hii kuna baadhi ya Hit numbers kama Penzi ni kikohozi, Ama zake ama zangu, Mti mkavu na Kizabizabina. Nyimbo nyingine ni:  Mwana Mbuzi, Uguru wa mapenzi, Waalimu, Naima na Malaika. Please buy from any of your convenient Online music Store.

Fresh Jumbe anamuunga mkono Rais wa Tanzania Ndugu Magufuli kupitia wimbo wake
'Bwana Chapakazi'

Nyimbo moja kwa mbili (Version one & two) toka kwa Fresh Jumbe zinazoelezea kazi nzuri, ya uhakika na ya kizalendo aliyoweza kuifany Rais wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa muda mfupi sana. Fresh Jumbe anaamini kuwa juhudi hizi za Rais wetu haziwezi kupita tu hivi hivi bila kuungwa mkono. Na huu ndio mchango wake Fresh Jumbe katika kuunga mkono juhudi za Rais wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Magufuli.

Fresh Jumbe have been performing all Across Japan for years. Here are some of his Live Performances in Japan. Please Enjoy the Videos

Fresh Jumbe have been performing all across Japan for many years now. Here are some of videos showing him with the Band traveling and touring all across Japan. His Concerts are including Festivals, School concerts, Special events and more.

Please Enjoy watching these videos of Fresh Jumbe with his Band arround Japan.